IJUE MBINU RAHISI YA KUPIKA KEKI NDOGO ZA BIASHARA Leo nitawaelekeza njia rahisi sana yakupika keki ndogo ndogo zabiashara , MAHITAJI ngano nusu,sukari mafuta robo,maziwa robo,baking porder kijiko 1 chachakula vanila kijiko 1 , NAMNA YA KUCHANGANYA Andaa bakuli yako safi weka maziwa nasukari nauchanganye vizuri mpaka sukari iyeyuke baada yahapo weka mafuta nauchanganye vizuri kisha weka baking poder ichanganye kwenye unga kisha weka ungawako kwenye mchanganyiko wako naukorige vizuri kisha weka vanila nauchanganye tena, Baada yakuchanganya vizuri andaa vikopo vyakupikia navipakae mafuta kisha mimina mchanganyiko wako kwenye vikopo namchanganyiko wako uwe mzito kiasi mfano wauji unavokua baada yahapo weka vikopo vyako vyenye mchanganyiko wako kisha weka sinia namoto kwajuu ilachini uwekiasi kaadk 30adi 45 baada yahapo utaangalia kekizako zitakua tayari

Comments